Ngozi Kavu inahitaji uangalizi wa hali ya juu sana kwa sababu ngozi hii huwa inakabiliwa an mishari na wrinkles/mikunjo.Na hisi hutokea hasa kipindi cha baridi ambapo ngozi huwa inakua kavu na pia huwa too rough. Lakini kuna vitu unavyoweza kufanya ili kuweza kuitunza ngozi kwa kupunguza ukavu na wakati huo huo ulinzi dhidi ya kuzeeka mapema kwa ngozi.
ZAIDI DUMBUKIA BONGO URMBO UKAREMBEKE ...BONGO UREMBO








No comments:
Post a Comment