katika kusherehekea siku ya WANAWAKE::Glambox
wanatoa zawadi ya make up kwa warembo watatu. Kupata nafasi yakushiriki kwenye bahati na sibu/ruffle hii tafadhali njoo na business card yako. Business card zitakusanywa kwaajili ya ruffle.
Kifurushi kina lipstick,blush,eyeshadow,mascara na foundation.
BILA KUSAHAU 8020 FASHIONS ITATOA ZAWADI KWA WATU 300 WA MWANZO. KUTOKANA NA IDADI YA ZAWADI KUTENGENEZWA KWA UCHACHE HIVYO TUWAHI TUPATE ZAWADI
....wengi wamenunua tiketi mwishoni tukashindwa oda
ANGALIZO
HAKUTAKUWA NA CHAKULA AU KINYWAJI KUTOKANA NA KIINGILIO, KIINGILIO NI KWA AJILI YA BURUDANI TU,HIVYO NAOMBA MBEBE PESA KWA AJILI YA VIVYWAJI VYENU PLZ,JAPO BAILEYS YA KUONJA IKO KAMA KAWA
NASIKITIKA
kutokuwa na msosi,tatizo ni mandhari ya hotel haturuhusiwi leta vyakula kama ilivyokuwa ANNIVERSARY 8020 FASHIONS na , na tungesema TULE SERENA LEO ingetulazimu kuweka kiingilio kikubwa saana ambapo si wote tungeafford nasi nia yetu ni kila mtu aweze hudhuria kwa wingi wetu na tuserebuke,Wengi wa wadau wamesikitika hilo ila NAOMBA RADHI KWA HILO,INSHAALLAW MWAKANI TUTASAKA UKUMBI WA NJE MAPEMA SAFARI HII DIAMOND KULIKUWA KUMEJAA.


















0 Maoni:
Post a Comment