nimetuma picha la Vazi ya kanga, ambalo ni hiyo gauni, nikava na Koti kuweka ladha ya vazi.
ujumbe kwa wanawake ambao kwangu huwa nauona ni mzito siku zote"tujipende, tujiamini na tujiheshimu"
pia karibu Tutembelee kijiwe kipya cha http://www.mrs-ca.blogspot.com upate ladha tofauti

















0 Maoni:
Post a Comment