wow birthday imependeza dada Ndema, jasmin amependeza sana na wenzake na amekuwa mkubwa hongera kwa kukuza wasalimie na kina Haruna
birthday imependeza,kweli kuna wazazi wanajua kujituma na kufurahisha watoto wao..ni raha sana.
Huyu dada sure know how to throw parties for her daughter. Huyu si ndio yule alikuwa kwenye pink Limo mwaka jana? Her daughter is really a princess. Party ilikuwa nzuri na watoto walijimwayamwaya haswa Hongera mama mtu
Hongera sana sis upo Juu kila kitu kimepangiliwa
the birthday was waoooo
Post a Comment
5 Maoni:
wow birthday imependeza dada Ndema, jasmin amependeza sana na wenzake na amekuwa mkubwa hongera kwa kukuza wasalimie na kina Haruna
birthday imependeza,kweli kuna wazazi wanajua kujituma na kufurahisha watoto wao..ni raha sana.
Huyu dada sure know how to throw parties for her daughter. Huyu si ndio yule alikuwa kwenye pink Limo mwaka jana? Her daughter is really a princess. Party ilikuwa nzuri na watoto walijimwayamwaya haswa
Hongera mama mtu
Hongera sana sis upo Juu kila kitu kimepangiliwa
the birthday was waoooo
Post a Comment