NDIO HAO HAO MABINGWA WA MICHEZO YA WATOTO NA CAKE ZA PICHA....WAMEKULETEA THEME TOFAUTI IKIWEPO ILE YA HANNAH MONTANA KIPENZI CHA WATOTO WA KIKE.....WAKO NA FULL PACKAGE YAKE KUANZIA MAPAMBO HADI PICHA...PIA USISAHAU WANAVITI NA MEZA SPECIAL KWA WATOTO,PINATA,MICHEZO AINA ZOTE SAMBAMBA NA FACE PAINTING!!
KUONA MAMBO YAO ZAIDI DUMBUKIA
WASILIANA NAO
CONTACTS: +255 757 022 884 , +255 713 491 151
Email: hbhb@kidsevents.co.tz
![]() |
| HII NI SPECIAL |
![]() |
| NAJUA MWAJUA KUWA VALENTINE INAKARIBIA...HAYA HBHB INAKUPA WASAA WA KUTENGENEZA CAKE YENYE PICHA YAKO WEYE NA MPENZIO ILI MULANE MACHO KWA MACHO KAMA SI MIDOMO KWA MIDOMO |





















1 Maoni:
Sham, ninapenda sana kuangalia blog yako, kwa kweli inaelimisha, inaburudisha na inavutia. Ila naomba nitajie bei ya keki hizo ili nione kama naweza na mimi nikaweke order yangu kwa ajili ya birthday ya my daughter pamoja na valentine. Love you.
Post a Comment