NAOMBA NIWATAMBULISHE KWENU KAMPUNI YA
EDGE POINT COMPANY
AMBAYO INADEAL NA USAFI WA MAJUMBASI KWA KUTWA,KUANDAA GARDEN , KUNUNUA BIDHAA NA KUKUANDALIA DIET NA KUHAKIKISHA UNAKULA KILE KINACHOTAKIWA KULIWA ILI UPUNGUZE UZITO KAMA SI KUWEKA SHAPE SAWA YA KUTAZAMIKA
WENYEWE WANAJITAMBULISHA KAMA EDGEPOINT DIETER ME NAOMBA
NIWABATIZE BONGO WEIGHT WATCHER....Sababu nimewakabidhi wao waniandalie diet yangu
WATCH ME!!
KUONA NINI WANAFANYA ZAIDI TEMBELEA
CONTACT
EDGEPOINT COMPANY LTD.
mob: +255 715808038. email: lcmakoi@gmail.com
For Dieter's, Cleaners, gardeners and shoppers.
mob: +255 715808038. email: lcmakoi@gmail.com
For Dieter's, Cleaners, gardeners and shoppers.
DIET ZAO HUPAKIWA VIZURI NA KWA USAFI TAYARI KUDELIVER KWA MTEJA KOKOTE ALIKO
"Kwa members wasio na matatizo yoyote ya kiafya tunawapa 'Edgepoint Diet' ambayo imefanya wonders kwa wateja wetu kama huyo wa kwenye before and after. nimewapa sample ya jinsi diet yenyewe ilivyo ila namna ya kupika na vipimo vya kiasi gani unaruhusiwa kula hatujaweka wazi, hiyo tuliyoandika ni kumpa mteja ajue tu ni aina gani ya vyakula ipo kwenye 'edgepoint diet', kama mteja ana allegy na chochote kilichopo kwenye hiyo diet plan, tuna shauri nini kiwekwe mbadala. ;Edgeponit Diet' ni the best diet plan ambayo ni rahisi na haikuumizi na kukutesa, pia matokea yake ni yakuonekana baada ya kuanzia wiki ya kwanza."
EDGEPOINT
| WANADELIVER HADI CHUMVI ATI.....MIE YANGU SIKU YA TATU HII .....watch meee!! |
YES HIZI NDIO DIET ZAO UKIWA MEMBER WAO, WAO WANAKUPANGIA NINI UTAKULA NA KISHA WANAKULETEA CHAKULA CHAKULA SIKU NZIMA. KUANZIA KIFUNGUA KINYWA,MLO WA MCHANA NA USIKU
![]() |
| HUYU NI MMOJA WA WAMEMBER YA CLUB YA EDGE POINT DIETER KABLA HAJAANZA |
![]() |
| HAPA NI BAADA YA KUTUMIA DIET YA BONGO WEIGHT WATCHER |
unangoja nini mie nimeanza siku ya tatu leo.......

















.jpg)

3 Maoni:
wa mikoani tunapataje sasa? au hiyo ni kwa watu wa dar tuu... basi atupe hata karesipi kidogo na wambali tujaribu kutengeneza au namba ya simu tupige tupewe muongozo..naomba kuwakilisha ombi langu.
mdau A town..
Hongera Petty kwa kukupungua,mazoezi yamekutoa kweli.
Mdau Arusha
kweli jamani mnatusahau sana wa mikoani shamimu kila kitu dar tu jamani, njooni siku moja moja na uku a-twn, kwa mafano hizo vitu za wanawake na sie tunataka wapo watu wengi tu uku wanakusapoti, plsss shami a.k.a mama Iqra
Post a Comment