SPONSORED BY MERCY G BEAUTY PARLOUR

NEW ARRIVALS 8020 FASHIONS

Monday, July 20, 2009

SKAFU!!

HII style yakufunga skafu shindoni enzi hizo niliwahi toa hapa .....ila kwa sasa ndo Bongo imefika wadada kwa wakaka wanazitinga....WE waonaje wanapatia ama?!!


KUMBE hata kichwani waweza ifunga kama Bro hapo kulia
hata TID nae anatinga
CPWA NA MSHKAJI WAKE

Mcheki Shadee ...wa kwanza kulia

Mcheki...Fid Q kushoto hapo alokaa

24 comments:

Anonymous said...

jamani navyojua mimi skarf zinavaliwa kwasababu ya kujikinga na baridi(hasa hizo skarf nzito na kubwa kubwa), sasa kwa joto la dar uvae skarf kubwa imekuziba shingo nzima inakuja kweli??? Zipo skarf kidogo nyepesi ambazo zinavaliwa kumatch na nguo hizo sawa kabisa nakubaliana nazo maana zinakuwa ndogo na joto halitakera sana..ila hizo kubwa kama mitandio na hali ya hewa ya dar kwangu mimi naona tuwaachie wenye sehemu za baridi..kuiga kwingine noma.

Anonymous said...

Huku kwa watu twafunga kwa sababu ya baridi misuli ya shingo isiathirike,mmhhh kwa huko Bongo sijui labda tuseme ni fashion tu, maana hilo joto na kitambaa shingoni kazi kweli kweli,lakini wanapendeza.

Anonymous said...

mi nachojua hizo skuf zinavaliwa sana na watu nchi za baridi kuzui baridi lisiwapige.

Anonymous said...

nasema ukweli nimetoka dar juzi tu kweli kuja joto sana labda wanavaa usiku ila mchana ni BIG NO WAY au beach labda heheheh

Anonymous said...

Dada , me naona wanapatia but hizi skafu zinaendana na hali ya hewa yaani ina season's hapa South Korea huwa tunavaa au wanavaa sana kipindi cha winter kali sana ili kuzuia usipate kifua hasa unazungushia shingoni asipate magonjwa ya kifua kama asthma kipindi cha baridi kali hiyo ndio kazi yake ni kwa ajili ya winter tuu basi si summer wala spring ila kwa tanzania ndio zimeingia sasa watu wanavaa bila kujali season's so ila UKWELI NI KUWA SKAFU NI FASHION WALIYO DESIGN KWA AJILI YA WINTER SEASON SI KIVINGINE. SASA TANZANIA JOTO NI KALI SANA NA HUKU UMEWEKA SKAFU HAPO TUU TUMESHINDWA KUVAA NA KUTOJUA MAJIRA MTU ANAVAA TUU ILI MRADI.
SORRY KWA WATAKAOKUWA DISAPPOINTED NA COMMENTS ZANGU]

BY

BENNY-SOUTH KOREA

Anonymous said...

Kwa upande wangu mimi naona ni okay kuvaa skafu kama upo kwenye mazingira yenye baridi kidogo ila kwa bongo naona skafu haifai maana joto ni kali mno.
Ata kama watu wanasema weather doesnt affect the fashion ila vitu vingine inabidi tuangalie.hayo ni mawazo yangu sijui wadau wengine wanasemaje.

Anonymous said...

well naona fid q pekeee ndio(kaifunga fresh)/ kaivaa sawa pia it depends na rangi yake na ya nguo yako ya juu...it should bring a nice combination.

Anonymous said...

Mimi si fashionista? watever!!.. lkn nakumbuka zilivaliwa sana kipindi cha baridi si wengi wanavaa ss. Mana joto hili halaf ujizonge zonge na kitambaa lol.
Kingine ni kwamba wengi wanavaa kwa kumechisha si bora umevaa skaf. kama FID q angepata ya zambarau.

Anonymous said...

ni fashion ila kwa huku uk imepitwa kidogo

Anonymous said...

SIO USHAMBA JAMANI NINACHOJUA MUELEVU MIMI KWA DAR UNAWEZA UKAVAA MWEZI WA SITA NA SI MIEZI MINGINE UTAKUWA UMECHEMSHA ...KWA MBEYA NA IRINGA (YES) ANY TIME....MDAU WA NCHI ZA NJE

Anonymous said...

majuu kuna fashion za kipindi cha baridi sio kila fashion ya kuiga.ndio huwa nashangaa watu huko bongo wanavaa winter boots au makoti ya lether,na joto hili unaweza ukapata fits ukafa ghafla

Anonymous said...

NONSENSE nonsense bongo tumezidi kuiga @thing.yaani kuna mpaka mwanaume eti kajitanda kama hijab jamani aka..aliyeipatia kidogo jinsi inavyovaliwa ni huyo kaka wa mwisho(ambaye ya kwake ni pink) but still it's unnesseray kujidunga mavitambaa na joto la bongo
ushamba period.........

Anonymous said...

Gezageza itamshinda magereza. Scafu ndani ya dar ni kichekesho. Kama ingekuwa silk isingekuwa mbaya sana. Inanikumbusha kipindi Kriss Kross walivyokuja na hooded shirts. Kila kijana bongo alitaka kuvaa au kipindi ma jersey ya hockey yalivyokuwa fashion bongo. Joto kali mtu kavaa polyester kama si ujinga ni nini?

Anonymous said...

hiyo ni fashion jamani wadau wa ughaibuni msione wabongo washamba.Mii nipo marekani na ninavaa skafu as fashion na wapo watu kibao wanavaa skafu za fashion na joto siku nyingine linazidi la dar.hizo naweza kusema ni za summer.Hao wanaosema zinavaliwa winter mnadanganya tu watu wa bongo,Skafu za winter ni nzito.Mnawasema watanzania wenzenu wakati marekani watu mpaka sasa wanatinga buti za winter na ni summer????Huyo anayesema fashion imekwisha UK ajue fashion siku zote haziendi sawa pande zote za dunia.

kc

Pittsburgh

Anonymous said...

Jamani wenzenu huku tumevaa winter sasa hivi hakuna mtu anaevaa kabisa. Wabongo bwana sio kila fashion tunaiga joto lote la Bongo kweli na skafu wamechemka sana.

Anonymous said...

shamimu mbona unatutia aibu, hizi skafu kwa sasa hapa bongo ndio muda wake labda kwa wakati uliotoa wewe zilikuwa katika wakati muafaka huko majuu coz majira yanatofautiana. Hata kama mtu alikuwa na skafu asingeweza kuvaa kipindi cha joto, na fashion its all about time darling. Madesigner wengi huwa wanaangalia majira kwanza ndo wana design kitu.

Anonymous said...

Jamani hizi skafu nimeona waarabu wanazivaa sana nchi za kiarabu kama kilemba au siyo aina hizo??

Anonymous said...

iyo ndio inaitwa iga ufe. Mimi nipo Newcastle na kwa ufupi tu hizo skafu ni kwaajili ya kuzuia baridi wakati wa winter, huwezi kuvaa skafu wakati wa summer

Anonymous said...

JAMANI NGOJA NIANDIKE HERUFI KUBWA. MIMI NIKO US NA HII NI FASHION . MIEZI HII JUA LA HUKU WATU WAMETINGA VIKAPTULA LAKINI SCARF WAMEZIWAMBA. SO ACHENI ZA KULETA . KAMA SIKOSEI HIZI SCARF WALIKUA WANAVAA WAISLAM NA WAARABU (ZA DRAFT).BUSTA RYMES ALIIMBAA WIMBO MMOJA UNAITWA ARAB MONEY .NA WAARABU AKIWA AMEVAA HIZO SCARF,NDO WATU WAKAZIDI KUIGA NA SUMMER WANAVAA SANA HUKU

Anonymous said...

we anony wa july 21, 8:53 pm na wengine wooote waliotoa maoni kama huyu anony.

kwanza naomba ututake radhi sisi wabongo kwasababu unaongea vitu bila kuwa na info kamili, for your information sasa hivi bongo ndo winter, huu ndio wakati wetu wa kuvaa skarf and everything vya kuzuia baridi, hichi ndio kipindi chetu. Tafadhali saana unapoamua kusema kitu kinachohitaji ufahamu, kwanza tafiti ndipo uanza kuongea. Ni kweli kulingana na majira yetu ya sasa tuna haki kusema hii ndio fashion ya wakati huu coz sio lazima mtu atumie skarf kujikinga na baridi, unaweza kutumia seta ama kanga, kitenge but watu wameonelea kuwa skarf ndio zenyewe kwasababu zao na ndio maana tukasema hii ndio fashion ya sasa.
NAOMBA KUWASILISHA.

Anonymous said...

Wewe uliyeandika kwa herufi kubwa unakaa marekani ya wapi? cz hata Alaska ni marekani. Shamim ukweli ni kwamba skaf ni za winter, huyu mwenzetu cjui anatoka marekani ya wapi. wewe unae kaa marekani kijijini huko usipotoshe watu.

Na ww anon mwengi tz haina baridi yakuvaa skaf.vitu vingine msiige jamani. mkiona tu mnaiga. joto la dar na skaf mnataka mtoke malenge lenge eboz.

Ndo wale kina Maimatha wanatinga mabuti ya wintter kwenye shughli lol

Anonymous said...

BEACH PARTY YA UK 2009 IYO ISSEU ILIKUWA INAFANYIKIA BEACH KUNA BAADHI YA WANAMUZIKI WALIOKUWA WAKIIMBA WAMEZITINGA HIZO NA NI SUMMER TIME SASA WEWE WA USA USITAKE KUTUCHANGNYA HIYO NI FASHENI YA KIPINDI HIKI ACHA MAUZA UZA

Anonymous said...

AMANI TENGA BABA NAKUONA UPO TA TOTOS EBANAE UNANGARA

Anonymous said...

Aah these are crimes of fashion!!

Blog Widget by LinkWithin