Pages

Tuesday, February 09, 2010

accesories!!

vikorombwezo navyo vina nafasi yake katika uvaaji nimependa saana cheni ya huyu dada kulia, huyu wakushoto nimependa kuanzia hereni, bangle na clutch naona pete kwa mbali imetulia...make up ndo usiseme hapo picha hazijaeditiwa... lol......they are Fashinistazzzzz
Bhoke & Terry
Tusekile Miss tzUk ye na cheni yake ya Uko Juu.....Na mama ake nae natamani Cocktail Ring yake

Monday, February 08, 2010

JABI CHERYL MATSOSO HAIR DO!!

huyu shostito ni content producer/TV Presenter huko South Africa aliingia Bloguni akapenda ninachofanya, nae ni fashionista

WIN A ROMANTIC VALENTINE CANDLE LIT DINNER

HII NI US February 5



kuna mtu alicomment from US those chains are sooo over, wasitufanye washamba as if tuko enzi za 60's to TV no internet! kinachofanyika usiku nasi tunaona kwenye internet kama ambavyo wanaona hata wengine wao tunawahadithia sisi kutokana na wao kuwa busy ....wasifanye enzi za nyerere .....

sijui ye anaishi US ya wapi? sasa hii ndio US February 5.

MDAU

MADAM RITA HAIR DO!!



Hair do kama ya My Riri....Chezeaaa!!!

LADY IN RED FASHION SHOW!!!

Mbunifu Farfa Naaz alipewa tuzo ya mbunifu bora wa mwaka , huku mrembo Elizabeth akipewa tuzo Beauty with purpose......vivazi vyooote vilivyooneshwa pale vinapatikana FABAK FASHION KWA MASILIANOO WACHEKI NAMBA 0713 263363 AU 0784 263363








Elizabeth Gupta akilifichua jukwaa

MAMBO YA MY RIRI yalikuwepoooooo

RED CARPET



































Mambo ya Ankle Boot
Hii cocktail ring ya Da khadija ilinikuna
Gladiator

Friday, February 05, 2010

REDDS NEW STYLISH PACK!!

kabula Nshimo Brand Manager wa REDDS akiuelezea mzigooo...kuwa ni SAME TASTE STYLISH PACK......chezee

hatimae ukazinduliwaa rasmiii.......INANOGA EEE
Hebu icheki chupa inavyopendeza mkononiii ina hadhiii
mzigo ukiwa umedisplaiwaaa..... kachupa haka kanafanana na maumbo ya wadada wengi wa kibongo...wink...na ujazo umeongezeka pia.....Enjoy!!
Machozi Band ndo walionogeshaa Jocate....ndo alikuwa anaongoza shughuli...Fashionistaaa weee
Msureeeeee
Anko Hashim na warembo wake....kawapa ajira kina dada
MAMBO YA RED CARPET
Miss Tanzania......Nilikuwa nimemiss nilifurahi kumuona


































viatuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....

Thursday, February 04, 2010

FASHIONISTA!!!

MAMBO YA VALENTINE EA TV HAYOOO

Hi,
East Africa Radio's 'Late Night Show' which is hosted by Mary aka Night Nurse is launching a Valentine's Day Campaign. So the Late Night Show will be the 'official Valentine Show'.
  • The Campaign has started this evening and will last till next week on Thursday night on the Late Night show. The late Night show is on East Africa Radio from Monday to Thursday, from 10:00PM to 1:00AM. Don't Miss It
  • During this campaign, Mary will be giving her listeners a chance to win a 'Romantic Candle-lit Dinner' for them and their loved ones. And they can only win if they tune-in to her and answer her 'Special Question of The Day'
  • Apart from the Romantic Dinner, the winners will also win numerous other things such as roses, a bottle of wine or champagne, swiss chocolates and much more for Valentines
  • Some lucky winners will be able to win to spend a night at a luxurious hotel on the eve of Valentine's Day and wake-up to breakfast on Valentine's Day next to their loved ones. This will only be for over 18 year olds.
  • All this is courtesy of Moevenpick Royal Palm Hotel in Dar es salaam, Sal Salinero Hotel in Moshi, Snow Crest Hotel in Arusha & The Hilton in Nairobi.
  • So this is for all East Africa Radio's listeners and their partners, so they can't bring their brother, sister or best friends to this...lol.
So please lets push this Valentine Campaign everyday till it comes to an end, which is next week on Thursday. If you need any more information then do not hesitate to contact me. We have to motivate people to tune-in to the Late Night show so that they can win and we can promote our shows.
From Monday's Late Night show, we'll have names of winners from different towns so feel free to ask me or Mary for the details.

BLOGGER SUMMIT YANUKIA

NDO ILIZINDULIWA JUZI NA ITAKUWA SAMBAMBA NA SEMINA YA IT & COMMUNICATION SUMMIT 2010WADADA WA WIA AMBAO NI WADHAMINI WAKUU MABEL.DEVOTA NA MARGARETH WAKIWA NA ANKAL
WADADA WA WIA WAKIWA SAMBAMBA NA CEO WAO......nimedata viatuziii na iyo waist skirt wa MARGARETH
MIE NA ANKAL NDO TULIWAKILISHA WANABLOGGER.......WADAU JAMANI TUJITOKEZE KWA WINGI KWENYE SEMINA IYO TAR 8-9 March DIAMOND JUBILEE
Blog Widget by LinkWithin